CoolingHii ki taaluma inaitwaje? View attachment 1470184
Ataachwa
Duu hii suluali au kaputla ? Mie naweza shona gauni la linda box ni kipande kina bakia [emoji23][emoji23]
Huyu mzee kachelewa sana kiumri kujiuliza hili swali, mimi nilianza kujiuliza darasa la 6
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji848]