hizi AI zitatupeleka kubaya
Siwezi kufuga hicho kiumbe.Kuweni makini sana jamaani kama mnafuga mbwa hawa viumbe mara nyingine wanasahau hata wanaowafuga na kuwapa chakula wanawajeruhi[emoji17]
Iliwalazimu askari wa maliasili kuwaua mbwa wote wawili ndio watoe majeruhi na kuwakimbiza hospitaliView attachment 2867303
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini 😳hizi AI zitatupeleka kubaya