Bulldogs...mijibwa ya matajiri hii. Inasemekana asili yake ni crossbreed ya mbwa na simba sijui wa wapi huko!Kuweni makini sana jamaani kama mnafuga mbwa hawa viumbe mara nyingine wanasahau hata wanaowafuga na kuwapa chakula wanawajeruhi
Iliwalazimu askari wa maliasili kuwaua mbwa wote wawili ndio watoe majeruhi na kuwakimbiza hospitaliView attachment 2867303
Sent using Jamii Forums mobile app
Yalimmaliza Mzee wetu KingungeBulldogs...mijibwa ya matajiri hii. Inasemekana asili yake ni crossbreed ya mbwa na simba sijui wa wapi huko!
Yanaua sana haya aisee si mchazo!
View attachment 2867332
View attachment 2867333
Mapenzi siyo vita💔💔💔
Vina dawa ya kuua mbu kama ngao