Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

BREAKING: Serikali ya Tanzania iliuziwa ndege ya zamani sana ambayo ilishaondolewa kwenye air worthiness. Ndege hiyo Bombardier Q300 imekwama nchini Malta kwa miaka mitatu sasa tokea 2020 kwa sababu spare zake hazipatikani. Asante serikali yetu sikivu ya CCM. Kazi iendelee…

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ndege ndo zile zilizokuwa zinanunuliwa kwa pesa tasilimu na shujaa wetu.
Naona wanaongopa ili kuharibu legacy shujaa
 
Cadillac Deville hearse 1959
FB_IMG_1704472652280.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom