🤣🤣🤣🤣View attachment 2862761Mwanaume anayedhulumiwa zaidi Ulimwenguni.... Grand P
Hizi ndege ndo zile zilizokuwa zinanunuliwa kwa pesa tasilimu na shujaa wetu.BREAKING: Serikali ya Tanzania iliuziwa ndege ya zamani sana ambayo ilishaondolewa kwenye air worthiness. Ndege hiyo Bombardier Q300 imekwama nchini Malta kwa miaka mitatu sasa tokea 2020 kwa sababu spare zake hazipatikani. Asante serikali yetu sikivu ya CCM. Kazi iendelee…
Sent using Jamii Forums mobile app