Bacar Niase.
Golikipa wa timu ya taifa ya Mauritania.
Golikipa kama unavyomuona, mrefu kama ngongoti, akisimama katikati ya goli anaweza kukamati nguzo ya goli kushoto na kulia.
Anakaribia kumwaga wino kwenye timu moja ya Tanzania.
View attachment 2861310