Hayanaga mwongozo!
Mnatabia mbaya nyie, wachoyo sana na tumekaa kimya lkn nyie mnavyojua kuhaha na eid sasa,Wakati wa eid mulituongelesha kiarabu ,tuliwaambia kuna maisha Baada ya eid [emoji23][emoji23]Leo ni mwendo wa kuongea ki Galilaya tu
Sent using Jamii Forums mobile app
🥱🥱🥱[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnatabia mbaya nyie, wachoyo sana na tumekaa kimya lkn nyie mnavyojua kuhaha na eid sasa,
Yaani leobhata salam hakuna,no sms no calls[emoji23], naogopa hata kusalimia mtu isije ikwa naomba muariko[emoji23]
Eid mwezi wa tetu si mbaliii.
Hilo halina ubishi[emoji419]
Leo miguu itawaka moto sana 🤣🤣🤣🤣🤣Zaidi ya hatari[emoji23]View attachment 1896062
Huyu hajawai iona mbususu yake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ili ualikwe lazima ujibu haya maswali kwanza...Wakati wa eid mulituongelesha kiarabu ,tuliwaambia kuna maisha Baada ya eid [emoji23][emoji23]Leo ni mwendo wa kuongea ki Galilaya tu
Sent using Jamii Forums mobile app