Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1702627853892.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
NAJUTIA KUVAA TOP, MZUNGU ALINIDANGANYA KISHA AKANIACHA; HAMISS BSS

"Sasa hivi siko na mzungu tena, ni miezi nane sasa tangu tulipoachana amerudi nyumbani kwao alisema muda wa kuishi Tanzania umeisha. Watu wengi wanadhani ukiwa kwenye mahusiano na mzungu basi umeyapatia maisha, sio kweli, mimi pesa kubwa ambayo nimewahi kupewa na mzungu ilikuwa ni elfu 50"

"Ameondoka lakini moja ya kitu ambacho alinitaka nikifanye na najutia mpaka leo ni kupiga picha na kitop, kwa wakati ule nilikuwa naona ni sahihi lakini kwa sasa najutia sana. Tulikuwa tunaishi wote yeye ndiye alikuwa ananilipia kodi, kodi ilikuwa ni zaidi ya elfu 50 lakini baada ya kurudi kwao ilinibidi nije kupanga uswahilini chumba cha elfu 30 maana sina uwezo wa kupata elfu 50 kwa mwezi"

"Maisha yangu ni magumu kiasi, sina kitanda nalala chini kwenye godoro, natumia jiko la mkaa sina uwezo wa kununua gas, sina kabati la kuwekea nguo naweka kwenye kamba. Kwa mwingine ni maisha magumu lakini kwangu kuna unafuu kwasababu leo yangu ina unafuu kuliko jana, Alhamdulillah, siwezi kuigiza maisha, haya ndiyo maisha yangu"- amesema Hamiss BSS alipotembelewa nyumbani kwake na Zamaradi TVView attachment 2842976

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu amekaribia kuyaelewa maisha!
 
Back
Top Bottom