Huyo dogo anapumua kweli 🤠
Doh!View attachment 2841477
Nasikia shemeji yetu yuko Mloganzila muda si mrefu atatokaView attachment 2841477
[emoji32][emoji32]Mwenye kibamia unamtosa ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ana kibamia
Yule Cobra ana nguvu sana hafi kirahisiHujambo E?
Vipi mliweza kumuua yule Cobra?
Jamani.
Sasa mtamfuga ndani?Yule Cobra ana nguvu sana hafi kirahisi
Ndiyo! Atakula msosi wa maana ili azidi kunenepaSasa mtamfuga ndani?