Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,084
- 8,859
Asikupe huyoNi mkurya kaka yako wifi?
Na wewe mkurya?Asikupe huyo
Jf wanaona wao kwa wao
Niko hapa mama
Wanaofanya hizo kazi ni wa mikoani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji28] [emoji3] [emoji28]Wahusika wameingia mitini au la wako shambani muda huu
alafu unakuta hii ni juu ya ki suzuki carry! ndio maana vinauza gharama kubwa aiseeView attachment 684571mambo ya pwani hayo maashaulwah[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji144] [emoji144]
Ndio niniii hivi usituchanganyie habari
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aisee,
Mwembe basha nasikia ni noma.
Kivuli chake kitamu balaa.
Sijawahi fika lakini.
Ila ukipita mchana hapo utaamua kujipumzisha kwenye kakivuli katamu na kaupepo ka huo mwembe.
Ukipimzika tu na kausingizo mwororo hapo hapo.
Ukiamka popobawa washafanya yao zamanii.
Na kesho lazima utan'gan'gania kwenda tena.
Ushakuwa punga bila kujijua
Wa bukoba hebu mkuje pande hiiBukoba lango la HIV Tanzania... Kuna mto unaitwa katerero.... Gesti za kule magodoro yana nylon ngumu kwa sababu ya huo mchezo... Huku ni lazima kuongea kiingereza kama alama ya usomi
Ahahahhaha
Wewe uliemnunulia mama etu viatu hivi, UKATUBU!
AhahahhaHuu uzi unakua wa kuwasimanga wa mikoani, ukiongea shit juu ya mwanaume wa Dar unagewa link ya uzi ukaangalie ndugu zako