Vituko mikoani

hahaha! Prove me wrong
Umesema hivi “Watu wa Dar wana sharp minds! Wakikaa vijijini kwenye opportunities,wanaweza kutumia fursa na kuwa kama Dangote”

Hapa kuna mambo mawili,

Moja, kumbuka shamba ni jembe.

Pili, wengi walioko Dar, walikimbia shamba.

Kwahiyo ndo maana nikasema umepotosha hapo. Mtu kuwa na sharp mind, maybe kwasababu ya corners, siyo lazima afanikiwe vijijini. Kule kwa kiasi kikubwa hakuna kona kona.
 
sema wa dar mkija huku 'shambani' kwetu mnakuwa kama mmetoka new york, mnataka kudominate kila sekta. Nilishawahi kuwahost wadau fulani hotelini, mtu analala anawasha feni na ac at once. Hahahaha
 
Shemeji umeeahau kwenu ugwenu
 
Mkoa wa Mara ndio mkoa pekee ambao upendo huonyeshwa kwa vipigo... Ni mkoa pekee ambao karibu kila nyumba haikosi mtuhumiwa wa mauaji na ndio mkoa pekee wenye death rate kubwa kutokana na kuuana... Kule ni MURA VITA NI VITA MURA
Mkoa pekee wenye vilema wengi na ngeu za kutosha
 
Viazi VITAMU vya kuchemsha!

Nimevitamani ghafla😛.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…