hata samaki ukishamdaka huwezi kumlisha tena chambo itakua ni uchezeaji wa chamboMijanaume ndivyo ilivyo ukishalivulia nguo basi linakuona huna maana tena....lol ...apo mtu kaachwa njia panda.
Hapo Namba moja mimi nimeoa kabisa
hapo namba 3 pananihusu sana!
Mapenzi yana run dunia, ila waganga wana yaharibu. Leo wana limbwata kesho wana dawa ya kuongeza mvuto wa mapenziUmebobea ktk thread za mapenzi Bujibuji. Big up!