asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
Last edited by a moderator:
Embu muite na Evelyn salt aje atupe maoni yake ...........................!:happy:
Kwa hiyo mpaka manne eeeeh...........!:madgrin::madgrin:
Wake wa four ndio mpango mzima, na wanawake pia waolewe na wanaume wengi wengi.
duh yakihitaji ujipikileshe kwa yoote mara moja vp hapo................!:becky:
Me tuwe hata mia 4 ila nisijue, ole wako
Kwa hiyo mpaka manne eeeeh...........!:madgrin::madgrin:
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha! mkongoman anaeza jiua kwa hasira.