Vituko duniani:

Vituko duniani:

Kutoka kule nchini Nigeria inaarifiwa kuwa baba mmoja Onyekachi Ekwelum amemuuza mtoto wake wa miezi 6 ili kutimiza ndoto yake ya kupata Visa ya kuingia Ugiriki.

Picha chini ni ya mtoto anayedaiwa kuuzwa...
Mnadhani hii ni tatizo ya umasikini, au?... Changia mada plzz!...

#by admin Yussuf T. Bilal ''Zidane Tanzi''

Pengine aliona hata kama angemlea yeye bado huyo mtoto angekufa kwa njaa.
 
kuna kitu umasikini tamaa na ulimbukeni ndani yake,.. inawezekana huyo mtoto hana malezi ya mama so hana uchungu na huyo mtoto so anaona ni kawaida tu, na vilevile labda ni ukata tu unamkabili akaona hana chochote kinachoweze kumpa fedha za kufanikisha adhma yake zaid ya hilo,.. kama amemuuza kwa nia njema no problem kwan hata huku bongo kwetu ni wengi tu wanauza watoto kwa wale wasiojaliwa watoto ni kwa vile tu hawawekwi kwenye vyombo vya habari nenda ofisi za mitaa uone jinsi watu walivyosainiana kukabidhiana watoto ndo utaamini, cha muhimu asitolewe kafara au kufanyiwa vitendo vya kinyama.
 
Tatizo viongozi wetu wa africa ni walafi, wanakula kwa mikono miwili tena michafu huku mlala hoi akiwa amefungwa kamba na kuzibwa mdomo. ndo maana watu wanafanya mambo ya ajabu yasiyo mpendeza mungu,wakati bara letu lina utajiri uliokithiri.aaghhh
 
Sijakuelewa vizuri kaka lakini mzee wangu niko katikati ya Amsterdam nadhani unaweza unielewa......

Najuwa hujavuta bangi hivyo nashindwa kukuelewa una maanisha nini kuwa hujaelewa? Wewe kama hauuzi unga wenzio wengi tu wanafanya hivyo, tena mbona hapo Amsterdam wanakuja sana? Si siri juu ya watanzania na biashara za uuzaji unga duniani. Vijana wengi tu hapa Bongo bishara yao ni hiyo, utakuta mtu kila siku yuko shambani Nigeria ama South Afrika kujitafutia bidhaa na kuzileta huko. Wakija huko wanaziuza kisha wananunua magari na kuleta huku Bongo, wanafanya hivyo kwani hawataki kukamatwa na pesa taslim uwanja wa ndege. Then magari yakija Bongo wanayapeleka show room kuyauza ili wapate hela zao. Huu mchezo unaeleweka sana, tena wengine wanasingizia wao ni ma agent wa clearing na forwarding huku kazi zao kubwa ni hizo za uuzaji unga.
 
Nimekusomama kaka pokea basi dedicacion hii................

Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom