Huyu siyo Fasta fasta kweli? Watoto sura yake ila walishamshtukia dingi.
Huyu siyo Fasta fasta kweli? Watoto sura yake ila walishamshtukia dingi.
Hata namba plates hakuna? Hapa Congo au Sudan ya kusini.
Aisee linakuwaga na chumv chumvEti wengine wakiona hivi watashindwa kula![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kuna nchi huyu jamaa angekuwa anatibiwa saa hii.
Mmasai na changu :
Mmasai. Nani nalipa hela ya sumba ?
Changu : wewe !!
Mmasai nani nalipa wewe ?
Changu : wewe !!
Mmasai : sasa kwa nini wewe nayumbisa yumbisa hiyo kiwino ?!!
hahahaaaaHahahah! Mamba kushnei