Hahahahahaaa mie hizo za hivo sizipendi bana ila kwa kuwa mapenzi ni ya wawili na lengo ni kufurahishana. ... basi namwambia tuu ukitaka nikupikie rosti ya maini ukanunue ingredients ntakupikia tutakuwa wote. Ila mie binafsi maini siyapendi na hutanikuta hata siku moja naenda buchani kuyanunua. Ila kuyapika aah utajilambaaa.
Weeh nani kakwambia maji huwa yanakauka? Wee utashangaa tuu kondoo cha lita 10 kinajaa na mtu bado yuko fit anaendeleza libeneke.
Ila alitoka hapo inabidi umuwekee matoke yaliyochemshwa pamoja na satos na yakaungwa na karanga..... kisha pembeni kuna nsenene aaah jioni utajaza kondoo cha lita 20 na mtu yuko gado.
Hehehehee angalia usijekimbia wewe 😛😛