Umenitoa machozi kwa kucheka ni taabu hiyo ngumi ikikupata lzm damu itoke.View attachment 359398 pale unapokutana na mtu unaemuweza then anakuletea mapuuuza.
Nan atapigwa hapa?
Duh, jamaa anakula ya mgonjwa aliyezimia! ? Lakini itakuwa ya moto hajafa huyo!View attachment 359420 baba acha haraka tumpeleke mgonjwa taratibu
View attachment 359402 brother vip tena?? Mlibadilishan jezi baada ya mechi ama?