Vituko Compilation : Tupia na vyako

Vituko Compilation : Tupia na vyako

Jezi ya mchezo uleeeee...

Hahahahaa kwa mchezo ule hiyo sitoi dola yangu kuinunua aiseeh sana yake nasubiria aniletee as gift kisha nakitupiamo mweeh ntamfanyiaje madaha. ... hadi afanikiwe kupitisha pitisha vidole kwenye hizo sehemu wazi udenda ushamtoka hehehehe
 
Raha ya kitu ukipate kwa jashooo.

Ilaa usije kaushwa maji tu
 
Babuuuuuuuuuuuuuuuu hahahahahahahahahahahahaaaa kwani ukaguzi umeisha?
Unanipandisha munkari na haka kabaridi wakati mwenyewe uko mbaliiiii.... Nikikucheat utanilaumu???

Ona sasa nimelazimika kuchomoa shati nisijeadhirika kwenye jumuiya hapa
 
Raha ya kitu ukipate kwa jashooo.

Ilaa usije kaushwa maji tu

Hahahahahaaa mie hizo za hivo sizipendi bana ila kwa kuwa mapenzi ni ya wawili na lengo ni kufurahishana. ... basi namwambia tuu ukitaka nikupikie rosti ya maini ukanunue ingredients ntakupikia tutakuwa wote. Ila mie binafsi maini siyapendi na hutanikuta hata siku moja naenda buchani kuyanunua. Ila kuyapika aah utajilambaaa.
Weeh nani kakwambia maji huwa yanakauka? Wee utashangaa tuu kondoo cha lita 10 kinajaa na mtu bado yuko fit anaendeleza libeneke.

Ila alitoka hapo inabidi umuwekee matoke yaliyochemshwa pamoja na sato na yakaungwa na karanga..... kisha pembeni kuna nsenene aaah jioni utajaza kondoo cha lita 20 na mtu yuko gado.

Hehehehee angalia usijekimbia wewe 😛😛
 
Hahaha umesahau na kahawa tu utafune vizuri.

Miguuu isije ikakosa nguvu na macho yakawa meupe yote ukilalamika u cnt breath

Ila sie bettry inaweza soma low
 
Hahahahahaa kawaida hizo ahadi za mtu akiwa juu ya kinena tushazizoea mbona heheheh
Ukitoa game hot itakuwa ndo mision yake kukumake happy.

Full kujirisk kisa mchezo wa 6*6
 
Unanipandisha munkari na haka kabaridi wakati mwenyewe uko mbaliiiii.... Nikikucheat utanilaumu???

Ona sasa nimelazimika kuchomoa shati nisijeadhirika kwenye jumuiya hapa

Hahahahahahahhaaaaaaaa babu mradi tuu hainasii hapo hapo sina shaka. Ukichomoa tuu mwambie anikoshee vizuri mwiko wangu mie jioni nikusongee ugali wa dona kwa dagaa za kuunga na karanga na sukuma wiki kwa pembeni. Kisha nakulisha mwenyewe kwa mkono wangu huku mkono mwingine ukikufuta jasho linalodondoka kichwani maana ugali ni wa moto na mboga za moto... mkono unaokulisha wamoto hivo kwa afya yako jasho kudondoka ni kawaida.

Mii laavuu yuuu babuuuu mwaah
 
Hahaha umesahau na kahawa tu utafune vizuri.

Miguuu isije ikakosa nguvu na macho yakawa meupe yote ukilalamika u cnt breath

Ila sie bettry inaweza soma low

Hahahahahahaaa weeweee mashambulizi yakizidi naweka kunchutama

Baada ya zoezi wote tunakarabati mwili vinginevyo tunawezapata utapiamlo wa kiutu uzima looh
 
Ukitoa game hot itakuwa ndo mision yake kukumake happy.

Full kujirisk kisa mchezo wa 6*6

No risk taking hapo..... mchezo wenyewe hauhitaji hasira.... pia unataka uvumilivu wa hali ya juu.
 
Hahahahahahaaa weeweee mashambulizi yakizidi naweka kunchutama

Baada ya zoezi wote tunakarabati mwili vinginevyo tunawezapata utapiamlo wa kiutu uzima looh
Tatizo huu mchezo unazeesha ukizoeshaa aiseee otherwise piga ndogo ndogo then mbili za uhakika kila wiki
 
Back
Top Bottom