View attachment 359422 halafu wanakwambia mzigo mpya umeingia
View attachment 359420 baba acha haraka tumpeleke mgonjwa taratibu
View attachment 359422 halafu wanakwambia mzigo mpya umeingia

Thumb up kwako.Make up don't lie hehehehehee ......
Kitu cha iPhone 6. ... anachat na bae. .....
Ila huyo make up artist wao anatakiwa kushtakiwa looh.... au ndo zombie style make up...... khaaa. .....
Thank God I love the way I am and no additions on my skin than olive oil.
hurudiiiii![]()
ila watu wananunua aisee
View attachment 359402 brother vip tena?? Mlibadilishan jezi baada ya mechi ama?
View attachment 359416 ngoja nimtumie Bebi
Ni kweli maana kila nguo anazovaa hadi zinamruka hazichaniki wakati wale wanaovaa nguo hadi zinachanika ni kuwa hawana cash ya kununulia nguo mpya.
Life is not fair always.......
hahaa hao wamepaka majivu au unga??
AIFAI = HAIFAI