Vitu vingine vinatishatisha

Afisa Mteule Drj 2

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
3,619
3,979
vitu vingine vimekaa kihatari hatari tu
mv.jpg
 
Hilo lipo safe sana kwani lina ballance kubwa kwenye maji ( rejea laws of flotations) na likipata dhoruba ni rahisi sana watu kujiokoa kwani lipo wazi
 
Kwa kukitazama tu hicho kivuko panaonekana hapo hapana kina kirefu sana na ni rahisi kujiokoa kama kutatokea taflani maana ng'ambo ni karibu. Ila wasizidishe mzigo.
 
Mbona kama kivuko (bridge) cha jeshi hicho?
Ni salama sana hata tanks zinapita hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom