The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,108
- 21,969
Mama maaama maaanaGT
Baadhi ya mambo yaliyokufa
1. Vyombo vya habari Tanzania
2. Machawa na uchawa
3. Watu wasiojulikana.
4. Simba na yanga
5. Jina la Lake oil (Loading)
6. Viherehere vya Gen-Z wa Kenya, kumbe walikuwa hawaijui vizuri Tanzania mamamamaee; walilipwa visent na wake wa wabelgiji eti waje kupindua serikali.........walichokikuta hawana hamu ya hata kuisikia tena Tanzania mamamamaae.GT
Baadhi ya mambo yaliyokufa
1. Vyombo vya habari Tanzania
2. Machawa na uchawa
3. Watu wasiojulikana.
4. Simba na yanga
5. Jina la Lake oil (Loading)
Hadi leo sijaona ushahidi wa hiki. Ila kama mlitumia mbwinu ya kumpa mtz jina baya ili mfanye yenu sawa.6. Viherehere vya Gen-Z wa Kenya, kumbe walikuwa hawaijui vizuri Tanzania mamamamaee; walilipwa visent na wake wa wabelgiji eti waje kupindua serikali.........walichokikuta hawana hamu ya hata kuisikia tena Tanzania mamamamaae.
Ukitaka kuua mbwa mpe jina baya...6. Viherehere vya Gen-Z wa Kenya, kumbe walikuwa hawaijui vizuri Tanzania mamamamaee; walilipwa visent na wake wa wabelgiji eti waje kupindua serikali.........walichokikuta hawana hamu ya hata kuisikia tena Tanzania mamamamaae.
Never say never haswa kwenye hii nchiTrust me haipo tena hiyo
Huna akili, hawawezi kusema lolote sababu ni aibu ya nchi yao lakini ukweli ni kwamba walikuwepo wengi tuHadi leo sijaona ushahidi wa hiki. Ila kama mlitumia mbwinu ya kumpa mtz jina baya ili mfanye yenu sawa.
Ushahidi kila sehemu maiti ni za Watanzania. Waliopelekwa mahakamani ni watanzania.
Huko Kenya hatujasikia hata sisimizi akipiga kelele kuwa vijana wao wamepotea.
Endelea kujifurahisha tu.
chaummaGT
Baadhi ya mambo yaliyokufa
1. Vyombo vya habari Tanzania
2. Machawa na uchawa
3. Watu wasiojulikana.
4. Simba na yanga
5. Jina la Lake oil (Loading)
kutukana ni ishara huna hojaUnajitia kidole halafu unakinusa
Tunda huwa halidondoki mbali kutoka kwenye mtu wake.......wenye akili tumekuelewa.Unajitia kidole halafu unakinusa
mental illness inatibika , wahi hospital ukasaidiweHuna akili, hawawezi kusema lolote sababu ni aibu ya nchi yao lakini ukweli ni kwamba walikuwepo wengi tu
Vijana kutoka Kenya 🇰🇪 hawa hapa ndo waliokuwa front lineUkitaka kuua mbwa mpe jina baya...