Vitu siwezi kuja kufanya kwasababu ya mapenzi

Vitu siwezi kuja kufanya kwasababu ya mapenzi

Wewe utakua hujafika hata miaka 18 pole sana mdogoangu ndoa ni zaidi ya hayo ...ndoa sio ndugu bali ndoa ni mume.... nyama ya nyama mfupa kwa mfupa sasa kama hao ndugu zako ndio watakua nyama ya nyama haya shauri yako.... ukifika 40 utarudi kutupa mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali wewe mtu mzima mwenye kujitambua...

HUYU BADO YUPO KWENYE UMRI WA NDOTO... YUPO SEKONDARI FORM 2 LABDA... ANA NDOTO YA KUWA DAKTARI...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe utakua hujafika hata miaka 18 pole sana mdogoangu ndoa ni zaidi ya hayo ...ndoa sio ndugu bali ndoa ni mume.... nyama ya nyama mfupa kwa mfupa sasa kama hao ndugu zako ndio watakua nyama ya nyama haya shauri yako.... ukifika 40 utarudi kutupa mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumpe mda, hivi vigezo huwa wanapunguza wenyewe, na mwishowe wanaishia u-single maza.

cc Demi
 
Uzi wako unaonesha wazi kuwa unawaamini ndugu zako kuliko Mume wako, umesahau kuwa familia yako si mama na baba yako pekee, ni pamoja na Mume na watoto wako pia ndio maana mnawaacha wazazi na kuanzisha familia yenu.
Kuwaamini sana ndugu kutakufanya kitu mbaya sana na usije kusahau, pia ninahisi kuwa wewe ni kati ya watoto vipenzi wa familia ya wazazi wako, hivyo haujui madhara ya chuki au kutopendwa na ndugu. Ipo siku utakuja elewa why hao ndugu hawana haki hata ya kukurithi na wawe muhimu zaidi ya mume? Mume au Mke ni zaidi ya ndugu, badili mtazamo, but inaonekana bado mdogo sana na upo shule ila ukikua ukawafahamu ndugu utanielewa nachomaanisha. Tunza huu uzi na hii Comment!
Sometimes ndugu ni wabaya zaidi ya nyoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Comment zakumpinga mtoa mada zimekua nyingi sana.
Hadi kaona akae kimya ajikosoe na yeye.
 
Back
Top Bottom