Vitu hivi humfurahisha mwanamke

Vitu hivi humfurahisha mwanamke

Ukimwangalia mwangalie machoni na sio maziwa wakati mkizungumza.

Mkienda mahala kutulia vuta kiti akae halafu wewe ndo ukakae.

Mkitembea barabarani asiwe upande wa magari.

Anapenda ukimfungulia mlango wa gari.

Mpe zawadi kama chocolates,juice,kaua anapenda sio miboxi ya minguo,mijeans.

Cheka hata kama hakichekeshi.

Anapenda kuongea we msikilize.

Mpe vitu vya rangirangi yupo navyo by nature.

Always msifie yeye tu na mwambie wengine hawana ambacho kwake kipo.

Anapenda uwe smart.

Anapenda viatu,have nice shoes.

Jokes zisiwe too much,hapendi mtu anaongea hamalizi.

Anapenda,mawazo ,mapenz na utani kidogo.

Mletee vitu ambavyo hupendelea bila ye kukuagiza.

Muulize upo wapi,unaendeleaje hapo unamjali.

Usikorofishane naye akili zao unazijua.

p.::

Wanaume mabwegebwege hufanya yote hayo.
Mie sina muda huo, niko busy na mishemishe zangu, nikirudi home full kumbembeleza mwanangu!
 
Mtaongea meng lakin hawa watu hawatabiriki.... cha msingi uwe na zle karatasi anazosign ben ndullu iv vngne ziada... na sanasana kwene tamthiria za kiflipino
 
Duh! Hii ya kumfungulia mlango wa gari ni hatar kwa mwendo huu makondakta wa daladala ndo wangekua wanaongoza kuwa na mademu wakali bongo nzima.
 
Duh! Hii ya kumfungulia mlango wa gari ni hatar kwa mwendo huu makondakta wa daladala ndo wangekua wanaongoza kuwa na mademu wakali bongo nzima.

Hahah mkuu we ndo pure great thinker,hahah!
 
Pamoja na yote hayo, akiamua kuzingua atazingua
 
Ukimfungulia mlango atahisi ni mbovu bora afungue mwenyewe
 
Ukimwangalia mwangalie machoni na sio maziwa wakati mkizungumza.

Mkienda mahala kutulia vuta kiti akae halafu wewe ndo ukakae.

Mkitembea barabarani asiwe upande wa magari.

Anapenda ukimfungulia mlango wa gari.

Mpe zawadi kama chocolates,juice,kaua anapenda sio miboxi ya minguo,mijeans.

Cheka hata kama hakichekeshi.

Anapenda kuongea we msikilize.

Mpe vitu vya rangirangi yupo navyo by nature.

Always msifie yeye tu na mwambie wengine hawana ambacho kwake kipo.

Anapenda uwe smart.

Anapenda viatu,have nice shoes.

Jokes zisiwe too much,hapendi mtu anaongea hamalizi.

Anapenda,mawazo ,mapenz na utani kidogo.

Mletee vitu ambavyo hupendelea bila ye kukuagiza.

Muulize upo wapi,unaendeleaje hapo unamjali.

Usikorofishane naye akili zao unazijua.

p.::

Asante kwa somo! Ila haya naona mengi mambo ya magharibi, tunajaribu kuiga!
 
Hapo kwenye jokes tu nadhani mie ndo nimepatikana hayo yote ya kawaida
 
Mwanamke hachekeshi afu wewe unacheka huo ni unafiki.
 
Back
Top Bottom