Vitu hivi humfurahisha mwanamke

Vitu hivi humfurahisha mwanamke

hilo lakuletewa bila kuagizwa,mapenzi kdg utani kdg,kuulizwa nko wapi nafanya nn,poleh,hongera etc...nayapenda na hata asipofanya vyote juz half of them are enough....filling lovely
 
Wengine malimbukeni tu, hata ukiongeza ya ziada kwenye hiyo list utakimbiwa tu akiamua., things that attract women change kama ilivyo kwa technologia
 
hilo lakuletewa bila kuagizwa,mapenzi kdg utani kdg,kuulizwa nko wapi nafanya nn,poleh,hongera etc...nayapenda na hata asipofanya vyote juz half of them are enough....filling lovely

you deserve that feeling
 
What is she doing in return❓❗

Actually, ukifanya haya yote mwanamke atakupenda na kukuthamini. Usitegemee chochote. Atanenepa kwa raha na wewe utakonda kwa masharti, atakuona uko chini yake na madeko yatazidi.

Hamna binadamu wanajisahau kama hawa.
 
Fanya ufanyalo na ukukuruke utavyoweza kama huna pesa angalia mbele upige kazi umsaidie mtoto wa baba mdogo wako mke atakuja mbele.
 
Kaka hiyo labda mbele na sio bongo, utafanya kila k2 akiamua kkusalit anakusalit hawana mana hawa viumbe, sina hamu nao!
 
Mapenzi bhana huwa nacheka sana nikickia na wanaume pia huwa wanalia wametendwa
 
ukimwangalia mwangalie machoni na sio maziwa wakati mkizungumza.

Mkienda mahala kutulia vuta kiti akae halafu wewe ndo ukakae.

Mkitembea barabarani asiwe upande wa magari.

Anapenda ukimfungulia mlango wa gari.

Mpe zawadi kama chocolates,juice,kaua anapenda sio miboxi ya minguo,mijeans.

Cheka hata kama hakichekeshi.

Anapenda kuongea we msikilize.

Mpe vitu vya rangirangi yupo navyo by nature.

Always msifie yeye tu na mwambie wengine hawana ambacho kwake kipo.

Anapenda uwe smart.

Anapenda viatu,have nice shoes.

Jokes zisiwe too much,hapendi mtu anaongea hamalizi.

Anapenda,mawazo ,mapenz na utani kidogo.

Mletee vitu ambavyo hupendelea bila ye kukuagiza.

Muulize upo wapi,unaendeleaje hapo unamjali.

Usikorofishane naye akili zao unazijua.

P.::
huku kwetu park nyigoti serengeti faaanya hayo yote ni kazi bure, usipomlamba makofi wala haoni kama unampenda kabisaaaa....
 
hapo kwenye kucheka kisicho chekesha walai sisapoti khaaa kwaio mtu ajichekeshe tuuuui nani anapenda mwanaume anayejichekesha??
 
Ukimwangalia mwangalie machoni na sio maziwa wakati mkizungumza.

Mkienda mahala kutulia vuta kiti akae halafu wewe ndo ukakae.

Mkitembea barabarani asiwe upande wa magari.

Anapenda ukimfungulia mlango wa gari.

Mpe zawadi kama chocolates,juice,kaua anapenda sio miboxi ya minguo,mijeans.

Cheka hata kama hakichekeshi.

Anapenda kuongea we msikilize.

Mpe vitu vya rangirangi yupo navyo by nature.

Always msifie yeye tu na mwambie wengine hawana ambacho kwake kipo.

Anapenda uwe smart.

Anapenda viatu,have nice shoes.

Jokes zisiwe too much,hapendi mtu anaongea hamalizi.

Anapenda,mawazo ,mapenz na utani kidogo.

Mletee vitu ambavyo hupendelea bila ye kukuagiza.

Muulize upo wapi,unaendeleaje hapo unamjali.

Usikorofishane naye akili zao unazijua.

p.::

cc romantic eyes.. kuna kitu kimekosekana hapo?
 
Last edited by a moderator:
hapo kwenye kucheka kisicho chekesha walai sisapoti khaaa kwaio mtu ajichekeshe tuuuui nani anapenda mwanaume anayejichekesha??

basi ukiongea kitu cha kufurahisha mi nakukodelea tu macho
 
cc romantic eyes.. kuna kitu kimekosekana hapo?

usicheke kama nilichoongea hakikuchekeshi

yes usiwe mkorofi lakini nikikukosea tell me straight kwa sauti ya kiume "sipendi hiki na hiki"...sio kwa kujilalamisha like "babe why are you doing this to me"

pia ugomvi wetu uishie ndani tu sio kitu kidogo mbio kwa rafiki au dada "unaona tabia ya mdogo wako??" hapana kwa kweli.
 
thas very nice... na siwezi kukununia kisa umenikosea.... umefanya mistake unaambiwa na ukifanya vema unasifiwa..
ugomvi wa jana unaishia usiku tukiwa wawili na kabla ya kwenda kulala tunahakikisha timepigana kiss.. asubuhi ni mwendo wa kutafuta maisha sio usuluhisho..
 
Back
Top Bottom