Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,945
Ukiona ndefu sanaaaaa summary hii hapa:
"Less words more actions" - sr bachelor
"Less words more actions" - sr bachelor
Last edited by a moderator:
exactly mengi tu
mkuu fikiria tena
Hizo rules zinapply kwa chapa ilale! Na kwa kawaida hazichukui muda mrefu actually inadepend ke analipa vipi + ugumu wake na bila kusahau mambo yetu yaleeeeeeee...!
Mtafute REALITY amejinadi,inamaana anyaweza atakufanyia.
Mie sijaona kitu kigumu hapo jaman!! Ni nn hasa kigumu?
Kama unampenda, mpe raha.
Ha ha maneno tu haya matendo robo yake mkuu
Sio rahis kiivyo kuyafanya haya
Mm sina gari la kukufungulia wewe mlango Nambukwa!!Au hata daladala niwe nakufungulia mlango?Bodaboda hazina milango bana!
Habari hii ni ya kufikirika tu na kama ipo practically basi watakao faidi mapenzi ya aina hii ni matajiri tu

Siyo lazima uwe tajiri, kama huna hilo gari basi hakikisha mkiwa mnatembea barabarani asiwe upande wa magari. That does not cost a single cent.