Vitu gani vya kuzingatia ukimtoa out(matembezi) mpenzi wako?

French kiss ndo kitu gani hicho="ganja gal, post: 20258230, member: 383510"]Haya me nakusaidia kwa maono yangu au jinsi nnavo penda kuwa treated
Kama una gari hakikisha unamfungulia mlango kuingia au kutoka
Mkikaa msogezee kiti
Mwambie unampenda na unajiskiaje kutoka naye
Ustaarabu wa hali ya juu sio kumshikashika kwy public,mara uombe french kis hell noo
Usiongelee mapenzii tuu utaboa ongelea na maisha kidogo
Mpe first priorty kwa kila kitu hata chakula kama kapenda kitu lets say salad unaweza muongezea yako kidogo
NB mawazo yng tuu[/QUOTE]
French
 
kwanza onyesha kumjali sana.. usipepese sana macho kwa wapita njia... mpe kipaumbele kama ni gari aanze yeye kupanda... mtanie tanie njiani msiwe mabubu... pia mshike mkono mwanzo mwisho usikubali distance kati yenu..!!!!
Waoooh
 
Kumtoa out mpenzi wako inategemea sana na uwezo ulionao wa kifedha. Ila kwanza tafuta sehemu unayoimudu kwa gharama na usimpeleke sehemu kubwa sana Zaidi ya uwezo wako na mazingira uliyozoea hata kama una hela nyingi. Nenda sehemu ambayo utakuwa comfortable na mazingira. Kutoka out ni suala ambalo litakupa nafasi ya kuongea na kufurahi pamoja kwa uhuru. Vitu kama chakula au vinywaji ni visindikizi tu katika maongezi yenu ya kimapenzi hivyo usivipanie sana. Nakupenda Enzi zangu nilikuwaga namfukuzia mtoto mmoja wa geti kali basi alipokubali tutoke out nikampeleka Slipway Enzi hizo za Mwl. Nakumbuka demu wala hakuenjoy sana kwa kuwa familia yao walikuwa wanataratibu za kwenda maeneo hayo ya gharama kila w/end. Nilipousoma mchezo nikambadilishia kiwanja nikampeleka sehemu baa moja ya uswazi tukatulia jioni moja alienjoy kupita maelezo. So mtoa mada msome mpenzi wako umchagulie sehemu una uhakika ata enjoy
 
Enzi za Mwl Slipway ilikuwepo?
 
wallet ndio kila kitu baba bora usivae viatu sio usahau wallet

sasa we beba wallet tupu halafu ndio utajua kwanini chips hazina ukoko
 
Tafuta mhaya akushauri... wao wanajifia mpaka jinsi mavi yao yanavyonuka vizuri... unaweza kuamini! Utajifia siku nzima demu anakuelewa mwanzo mwisho
 
Usisahau kumpa hela baada ya iyo outing maana ndo kitu cha muhimu zaidi
 
Back
Top Bottom