Vitu gani vya kuzingatia ukimtoa out(matembezi) mpenzi wako?

kwanza onyesha kumjali sana.. usipepese sana macho kwa wapita njia... mpe kipaumbele kama ni gari aanze yeye kupanda... mtanie tanie njiani msiwe mabubu... pia mshike mkono mwanzo mwisho usikubali distance kati yenu..!!!!
Mfano muwapo njiani ajitahidi kumlinda, mnapovuka barabara hakikisha usalama wake kwnz kwa kuhakksha anavuka vema
 
Haya me nakusaidia kwa maono yangu au jinsi nnavo penda kuwa treated
Kama una gari hakikisha unamfungulia mlango kuingia au kutoka
Mkikaa msogezee kiti
Mwambie unampenda na unajiskiaje kutoka naye
Ustaarabu wa hali ya juu sio kumshikashika kwy public,mara uombe french kis hell noo
Usiongelee mapenzii tuu utaboa ongelea na maisha kidogo
Mpe first priorty kwa kila kitu hata chakula kama kapenda kitu lets say salad unaweza muongezea yako kidogo
NB mawazo yng tuu
Wewe unaonekana ni mtaalam wa mambo hayo.. hongera ata mimi umenipa somo kiukweli
 
Mimi nimeshawahi kutoka na mtoto mkali usiku lkn sasa wakati tunarudi njiani usiku sinikaona kama njemba 5 mbele hivi hazieleweki acha nitetemeke ....my take hata ngumi uwe unajua at least mtoto mkali watu watamchukua.
 
Dooh!

Sasa hapa utachukua wazo lipi...?
Nashauri ufanye kwa maono yako binafsi...

Unaweza ukapata wazo kumbe ndio linakupoteza...

Msome kwanza mwenzako anapenda nini...ili usiharibu
Afanye venye moyo wake unapendaga
 
Mimi nimeshawahi kutoka na mtoto mkali usiku lkn sasa wakati tunarudi njiani usiku sinikaona kama njemba 5 mbele hivi hazieleweki acha nitetemeke ....my take hata ngumi uwe unajua at least mtoto mkali watu watamchukua.
Hayo yalikuwa zamani, sasa hivi watu ni wastaarabu. Sana sana watakachofanya ni kuchukua/kumpatia namba ya simu pale utakapokuwa umewmacha peke yake na kwenda washroom. Hiyo namba huwa inachukuliwa kupitia kwa Wahudumu wa eneo hilo, ambao humletea namba ya Jamaa ikiwa imeandikwa kwenye tissue.
 
Ni Mara yako ya kwanza kumtoa out umpendae... Do this

1 jua mwenzio anapendelea nini
2 wewe unapendelea nini
3 sehemu nzuri ni ile ambayo wewe unaijua vizuri ambapo hutokuwa boring hii itakufanya ujiamini zaidi kwake na kumfanya awe huru kwako
4 usiwe na mambo mengi just concentrate kwake
5 Tumia fedha kiuangalifu
 
Na kwa jinsi jukwaa lilivyojaa wajuzi na wataalamu atapatiwa ushauri tu.
Yaan JF dah!, hadi kutoka out unahitaji ushauri nn cha kufanya?, kesho utakuja tena eti ndio naelekea chumbani nishaurin nn cha kufanya.
 
Jitahidi sana kumfunua kyupi! Usipofanya hivyo utaonekana wewe ni mbulula wa mwisho! Nasisitiza tena! Usikubali umwache hivihivi!
 
Back
Top Bottom