Vitu ambavyo wabongo wanapenda mno

Vitu ambavyo wabongo wanapenda mno

Kutopenda kuona mwenzake anafanikiwa na kufurahia mtu anapopatwa na matatizo.
 
18:Hawajui wanataka nini.
19:Kuwaamini watu wanaoisema vbaya serikali hata kama wanachokiongea hakiwasaidii kitu (eg.Mange)
 
hi
  1. Kutokupenda kusoma na kufuata yaliyomo kwenye mikataba
  2. Kufuata sheria bila shuruti
  3. Kupenda "short cuts" iwe barabarani, foleni, kazini, vyeti n.k.
  4. Kutokupenda kubandika bei za bidhaa na kukadiria tu kutokana na muonekano wa mtu
  5. Kukaa nje ya frames za maduka, chini ya miti n.k.
  6. Kujazana kwenye ajali
  7. Kuogopa mvua zaidi kuliko magari
  8. Kupenda kujenga hovyo bila kufuata taratibu
  9. Kusifia majambazi na wezi
  10. Kujazana kwenye misiba
  11. Kuchanga mahela mengi kwenye sherehe na sio za maendeleo
  12. Kupiga mziki mkubwa mpaka masikio kuuma
  13. Kupenda imani za kishirikina
  14. Kupenda kumsingizia Mungu kwamba kataka kumbe makosa ni yao
  15. .......
yo ya tatu ndo zangu nauza mambo online sibandiki bey hahaha ukiingia kichwa kichwa inakula upande wako
 
Kufatilia mambo yasiyo kuhusu kama mtoa mada alivyo fanya
kujifanya yeye ni smart kuliko wengine nakujibagua kama mtoa mada alivyo fanya\
 
  1. Kutokupenda kusoma na kufuata yaliyomo kwenye mikataba
  2. Kufuata sheria bila shuruti
  3. Kupenda "short cuts" iwe barabarani, foleni, kazini, vyeti n.k.
  4. Kutokupenda kubandika bei za bidhaa na kukadiria tu kutokana na muonekano wa mtu
  5. Kukaa nje ya frames za maduka, chini ya miti n.k.
  6. Kujazana kwenye ajali
  7. Kuogopa mvua zaidi kuliko magari
  8. Kupenda kujenga hovyo bila kufuata taratibu
  9. Kusifia majambazi na wezi
  10. Kujazana kwenye misiba
  11. Kuchanga mahela mengi kwenye sherehe na sio za maendeleo
  12. Kupiga mziki mkubwa mpaka masikio kuuma
  13. Kupenda imani za kishirikina
  14. Kupenda kumsingizia Mungu kwamba kataka kumbe makosa ni yao
  15. .......
Nimeipenda No.14!
Nyongeza:-
15.Kupenda kuongelea na kusifia watu waliofanikiwa katika maisha huku ya kwao yakiwa yamewashinda.
16.Ubishi wa kijinga na kujifanya
wanajua hata yale wasiyoyajua.
17.Kupenda kulalamikia ndugu au watu wengine kuwa hawawasaidii,huku wenyewe wakiwa hawafanyi juhudi yeyote katika kuboresha maisha yao.
 
15.kuomba omba ela kama hana nguvu ya kutafuta ela zake au kukopa alafu kulipa ugomvi.
 
  1. Kutokupenda kusoma na kufuata yaliyomo kwenye mikataba
  2. Kufuata sheria bila shuruti
  3. Kupenda "short cuts" iwe barabarani, foleni, kazini, vyeti n.k.
  4. Kutokupenda kubandika bei za bidhaa na kukadiria tu kutokana na muonekano wa mtu
  5. Kukaa nje ya frames za maduka, chini ya miti n.k.
  6. Kujazana kwenye ajali
  7. Kuogopa mvua zaidi kuliko magari
  8. Kupenda kujenga hovyo bila kufuata taratibu
  9. Kusifia majambazi na wezi
  10. Kujazana kwenye misiba
  11. Kuchanga mahela mengi kwenye sherehe na sio za maendeleo
  12. Kupiga mziki mkubwa mpaka masikio kuuma
  13. Kupenda imani za kishirikina
  14. Kupenda kumsingizia Mungu kwamba kataka kumbe makosa ni yao
  15. .......
Kutokufanya kazi lakini anaingiza pesa kuliko mtu alieajiriwa
Kupenda kufoji vyeti ili kupata kazi serekalini
 
Back
Top Bottom