Black Coffee
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,937
- 3,202
umenichekesha nimebaki watu wananishangaa,,maana nimejaribu kuvuta picha ya iyo,,njingapi alafu kwa sauti kubwaHalafu si unajua zetu mamon'goo shee njingapi haha kwa sauti kila mtu anaskia
Imenigusa pia nampango wa kukudelete mwezi sasa[emoji35] [emoji35]Gea hiyo ya 7. Imenigusa.
Chungulia pm nimekutafuta
[emoji3][emoji3]umenichekesha nimebaki watu wananishangaa,,maana nimejaribu kuvuta picha ya iyo,,njingapi alafu kwa sauti kubwa
Mmh, jirani kisaa [emoji21]Imenigusa pia nampango wa kukudelete mwezi sasa[emoji35] [emoji35]
Basi tuMmh, jirani kisaa [emoji21]
Hata Mungu hapendiBasi tu
Hahaha unanunua ugomvi sio?kiongoz huyu yy sim kwingne tutamshika shika tu
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Hapendi ndio we mbona hunipendiHata Mungu hapendi
Inamaana hata mpenzi wako hautaki akakushika? Unayajua mahaba kweli?Mie sipendi tuongozane na mtu barabarani alafu awe amenishika mkono au bega aarg huwa nachukia sana [emoji57]
Umeamua kunionea tuHapendi ndio we mbona hunipendi
Me nakutafuta unanichunia[emoji57] [emoji57]
Ninja ney inaonekana mbabe saanaInamaana hata mpenzi wako hautaki akakushika? Unayajua mahaba kweli?
busuUnapenda kumpa nini?
Hahahaaa! JF bhanaaSipendi boy anitoe out, alafu unaagiza lbd nikinywaji au chakula anaanza kuuliza bei Kwanzaa,
Sipendi unatoka out namwanaume ambaye humpendi una mchuna anaanza kukushika shika Mara mikono mabega kiuno kukutambulisha ovyooo kwa watu sipendi!!!
Sipendi unagegedana na mwanaume hajui hata romance yupo kama kuku.......
Sipendi kujichanganya kwenye makundi, vijigroup vya kike, marafiki wakike/wakiume sipendiii,
LA mwisho na kubwa zaidi
SIPENDI KUTONGOZWA ASEE NACHUKIA HII KITU
Hayo mapenzi au ujinga, tunachafuliana CV tuu kesho tukizinguana tayari ulishanizibia bahati jana [emoji57]Inamaana hata mpenzi wako hautaki akakushika? Unayajua mahaba kweli?
Nataka! nipe nivishike basiSasa hutaki au
Mficha uchi hazai, sasa wewe utaishi maisha yako yote bila kutongozwa??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124]
Sio ubabe DabyNinja ney inaonekana mbabe saana
Kumbe mind yako imejikita kwenye kuachana zaidi, kuliko kufikiria jinsi ya kupasua mabonde na milima na kuyafikisha mapenzi yenu to the eternal...Hayo mapenzi au ujinga, tunachafuliana CV tuu kesho tukizinguana tayari ulishanizibia bahati jana [emoji57]
Kila mtu ajitegemee kwenye kutembea hakuna anayesikia kizunguzungu useme atahitaji support ya mwenzie