Vitu ambavyo sipendi

[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
mtu kakutoa out alaf kila anauliza bei mara aanze kulalamika apunguziwe bei,,,anajifanya anaondoka ili aitwe alaf akiitwa mnarudi tena ,,damn ,,wewe uje mwenyewe out za drama hazifai kabisa
kama huna sema sina nna kiasi flani kama nnayo niongezee kama hatuona tuondoke
 
Haha.

Hahaha umenichekesha balaa.
Wali maharage shingapi. Eti hapa Heineken shingap? [emoji3][emoji3].
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sipendiii kweli babu, agiza ukiletewa bill km huna hela tujue
 
Ndiyo zangu....
Tena narudisha hadi soda iliyokwisha funguliwa nisipopunguziwa.
 
HUPENDI KUTONGOZWA ILA UNAPENDA USAIDIWE CHANGAMOTO ZAKO... KWA NINI WANAWAKE WENZAKO WASIKUSAIDIE MAANA HAWATAKUTONGOZA[/colo]
Huo ni mtazamo wako, usilolijua ni sawa na usiku wa Giza
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sipendiii kweli babu, agiza ukiletewa bill km huna hela tujue
Ila hii Tabia mwenyewe siipendi. Muda mwingine umekutana na rafiki yako unaamua kuingia naye Bar sasa kero inakuja pale kinywaji kinapofunguluwa anauliza shingapi.

Daah huwa najiuliza hadi mimi nimekuja naye haniamini kama ninapesa au.
 
Mie sipendi mwanamme anakukaribisha soda (Fanta) kwa mfano kwenye baa, ile unaanza tu kunywa hata hujamaliza funda moja anaanza " HIVI HAPA KUNA VYUMBA KWELI" sheeeeenziiiiii yaani kasoda kako ndio unaanza kuulizia vyumba, mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Chikira bhanaa umenifanya nicheke kwa nguvu
 
Ila hii Tabia mwenyewe siipendi. Muda mwingine umekutana na rafiki yako unaamua kuingia naye Bar sasa kero inakuja pale kinywaji kinapofunguluwa anauliza shingapi.

Daah huwa najiuliza hadi mimi nimekuja naye haniamini kama ninapesa au.
Ni ushamba, kwasababu mtu unaenda sehemu kwa kuangalia tu mandhari ya pale unaweza kukadiria kinaweza kuwa bei flani.... Alafu jitu linaanza eti wali kuku bei gani[emoji35]
 
mkuu usiombe yakukute unaweza kasirika mpaka ukabadilka rangi,,alafu eti ukijiongeza limtu linakwambia sio kama sina pesa ila hii bei sio halali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo anaona aibu anaanza kujitetea
Na wenye hizo tabia huwa hawabadiliki jamani
 
="Neybright, post: 22181933, member: 413115"][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo anaona aibu anaanza kujitetea
Na wenye hizo tabia huwa hawabadiliki jamani[/QUOTE]
🙂
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…