Vitu ambavyo sipendi

Ngoja nije pm niweze kukubadilisha hicho cha mwisho usichokipenda
 
Haya uliyosema yatatusaidia nini ilihali hatujuani, upende usipende haiongezi wala haipunguzi chochote kwasababu hatujuani ata km tumepanga nyumba.
 
Haya uliyosema yatatusaidia nini ilihali hatujuani, upende usipende haiongezi wala haipunguzi chochote kwasababu hatujuani ata km tumepanga nyumba.
Haya ushakunya?
 
Mie sipendi mwanamme anakukaribisha soda (Fanta) kwa mfano kwenye baa, ile unaanza tu kunywa hata hujamaliza funda moja anaanza " HIVI HAPA KUNA VYUMBA KWELI" sheeeeenziiiiii yaani kasoda kako ndio unaanza kuulizia vyumba, mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
4:Kuleta mgeni home halafu nimpikie mimi, mgeni wako shughulika nae uliemleta.
2:Kupigiwa simu kuanzia saa 4, 5, 6, usiku, ulikuwa wapi kuanzia asubuhi saa 4 mpaka saa 1 jioni, dawa huwa sipokei labda iwe ya mama au mchuchu ninaemkubali, watu wengine hukurupuka aisee huwa nawatukana na kuwablock.
6:Watu wanaonuka vikwapa, mdomo, jasho siwapendi aisee hua nakaa nao mbali na mimi, wachafu wachafu, sitaki kabisa, unakuta mdada kavaa vizuri anang'aa lakini kikwapa kinatema wakati deodorant 5000 tu shenzi kabisa.
hapa tumefanana tabia
 
Mm sipendi watu wa kujiina ona kama wewe

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
Ukiachana na simu, ni kitu gani kingine ambacho kikishikwa shikwa huwa unachukia?
Viseme vyote plz
kiongoz huyu yy sim kwingne tutamshika shika tu

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Mie sipendi tuongozane na mtu barabarani alafu awe amenishika mkono au bega aarg huwa nachukia sana [emoji57]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…