didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 2,058
- 3,443
Wakuu karibun mtaje vitu ambavyo hamtovifanya mpaka nchi hii ikombolewe. Binafsi naanza kama ifuatavyo
1. Sitofanya mapenzi mpaka October 29 ipite.
2. Sitoangalia picha au picha mjongeo yoyote yenye maudhui ya ngono.
Karibu mtiririke
1. Sitofanya mapenzi mpaka October 29 ipite.
2. Sitoangalia picha au picha mjongeo yoyote yenye maudhui ya ngono.
Karibu mtiririke