daaah mambo hadharani aisee................wameharibu walioweka adhabu ya miaka 30 itabidi tuwe tunalia gizani
Halafu kuna wanafiki mtu akivaa sketi fupui wanatokwa povu oooh sio utamaduni wa mwafrika......afrika mambo yalikuwa nje nje na wanaume wa shoka wanavumilia tu.
Noma sanaHalafu kuna wanafiki mtu akivaa sketi fupui wanatokwa povu oooh sio utamaduni wa mwafrika......afrika mambo yalikuwa nje nje na wanaume wa shoka wanavumilia tu.
Elewa kuwa hawavai hivyo kila siku bali siku hiyo kuna sherehe za kitamaduni. Ni sawa na hapa kwetu mtu akivaa kichupi beach au club haina shida. Kila kitu kina mahali na wakati wakeHalafu kuna wanafiki mtu akivaa sketi fupui wanatokwa povu oooh sio utamaduni wa mwafrika......afrika mambo yalikuwa nje nje na wanaume wa shoka wanavumilia tu.