Mpaka hapo kashakupelekesha tayari, na kesho akikupigia utalainika tupoleni na majukumu
Kuna dada tulikuwa na mazoea kias tu uwa tunawsiliana vyema Sasa Leo halikuwa na shida na bidhaa Fulani akaniomba kuwa nkielekea maneno ya mjini nmchukulie
Kweli join nkatoka home nikawasha pikipik yangu (tvs) mpaka maneno ya sokoni nkabeba mahitaji yangu Kisha nkampigia simu kumuuliza kuhusu aina ya bidhaa anayoitaka
Bas nkamchukulia Kisha nkawa narudi home baada ya kumpelekea Ile bidhaa akaanza kuikataa na kusema hajaridhikanayo mim Kwa u pole nikamwambia sawa nmekuelewa Kisha nikaichukua Ile bidhaa mpaka home
Baada ya kufika home nikajiuliza yule binti ananichukuliaje na jinsi mafuta yamepanda Bei hiv then amenisumbua kiasi hiki au anajiona mzuri sana na anauwezo wa kumuendesha kila mwanaume nkapata jibu la kumpigia simu
Nlichomwambia ni Kwa lugha ya upole tuuh asma akaitaka abeeh Kisha nikamwambia afute namba yangu na asijewahi kunitafuta Tena baada ya hapo nikamblock Kisha nkaifuta namba yake
Watoto wa 2000 muache kujifanya majinoooh
Sio kila mwanaume ana interest ya mapenzi na kupelekeshwa
Mnafungua lini shulepoleni na majukumu

Ni swala la muda tu atai unblock hio noMpaka hapo kashakupelekesha tayari, na kesho akikupigia utalainika tu
Ni kesho Tu wala sio mbali huyo Dogo kamfanyia hivyo kashajua udhaifu wake kitamboNi swala la muda tu atai unblock hio no
Watoto wa 2000 muache kujifanya majinoooh
π€£π€£π€¦ββοΈπ€¦ββοΈ
Nope unatetea Kwa vile wee ni mwanamke mwenzio but situation ilivyokuwa hata wew ungeona unajipa umuhimu kweny mambo ambayo hayataki umuhimu kila mmoja afanye mambo yake tu kiufupi nmekuwa too much board π‘π‘π‘π π πsasa kama mtu hajapenda kitu asiseme? habari za mafuta kupanda bei zinatoka wapi wakati na wew ulienda kwa issue zako, labda ungesema mda uloutumia kutafuta hicho kitu
all in all mwanaume hasusi