Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,144
- 3,459
VITO - MADINI - DHAHABU - UTENDAJI WAKE.
MOONSTONE : JIWE LA THAMANI LINALOSAIDIA WANAWAKE KUSHIKA MIMBA!
Sehemu ya nne
Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️
Ukisoma Elimu ya Vito, utagundua jinsi ambavyo kuna maajabu makubwa sana katika matumizi yake.
Kuna mamia kwa mamia ya mawe ya vito (gemstones) na kila jiwe lina kazi yake maalum katika mwili na maisha ya binadamu.
Kuna mawe yanasaidia kufungua uchumi uliofungwa (mfano Citrine - the Merchant stone), kuzuia uchawi na nguvu hasi mwilini (mfano Pyrite), kuamsha machale (mfano Amethyst), kuchochea utulivu wa ndani wa hali ya juu (mfano Aquamarine) nakadhalika.
Mawe ni mengi kwa kweli na kila jiwe lina kazi yake maalum.
MOONSTONE ni jiwe linaloakisi tabia zote za Mbaramwezi.
Mbaramwezi ni gimba la angani lenye sifa ya umama (motherly traits) na nguvu ya kike (feminine energy)
Moonstone ni jiwe lenye nguvu ya kuchota baraka za asili kutoka kwa Mbaramwezi na kuzipenyeza kwenye mwili wa mvaaji.
Pamoja na faida nyingi za hili jiwe, pia linawasaidia akina mama wenye changamoto ya kutoshika au kuharibu mimba.
Linasaidia kubalansi homoni za kike na kuzuia uwezekano wa mimba kuharibika.
Endapo una changamoto ya hormonal imbalance (tatizo la homoni) kiasi cha kushindwa kushika mimba au una changamoto ya fallopian tube obstruction (tatizo la mirija ya kupitisha mayai kuziba) na shida ya uterine or cervical problems (changamoto kwenye tumbo la uzazi), basi jiwe la Moonstone litakusaidia kuondoa changamoto hizo na hivyo kukusaidia kushika mimba bila kuharibika mpaka wakati wa kujifungua.
Unaweza kutumia jiwe hili kama Pete au ukavalia kwenye shanga (waist bead) au ukavaa shingoni kama Kidani.
Kama kuna mwanamke ana hiyo changamoto msaidie kuitatua kwa njia hiyo.
Kwa msaada wa tiba ya nyota, maisha, uchumi, mahusiano na magonjwa, wasiliana nasi
By Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ , mtafiti na mkufunzi wa maswala ya kiroho