---
🐄📌 ELIMU KWA WAFUGAJI
🧬 VYANZO VYA MIFUGO KUSHINDWA KUSHIKA MIMBA
---
1. 🥀 LISHE DUNI
Lishe isiyotosha hupunguza uzalishaji wa homoni. Mnyama anakosa nguvu na afya ya uzazi hushuka.
2. 🦠 MAGONJWA YA UZAZI
Endometritis, Cystic ovaries, na maambukizi ya baada ya kuzaa huathiri mimba kutunga.
3. 🕒 KUPANDISHA NJE YA MUDA SAHIHI
Kupandisha kabla au baada ya joto hupelekea kushindwa kushika mimba.
4. 🧫 MAAMBUKIZI KAMA BRUCELLOSIS
Husababisha kutoshika mimba au kuharibika kwa mimba.
5. 😖 MSONGO WA MAWAZO (STRESS)
Msongamano, safari, kelele au mazingira magumu huathiri mzunguko wa joto.
6. ⏳ UMRI USIOFAA
Mnyama akiwa bado mdogo au mzee sana, uwezo wa kushika mimba hupungua.
7. 🧬 KASORO ZA KIUZAZI
Matatizo ya kimaumbile kama mirija kuziba au mji wa mimba kuwa mdogo huathiri utungwaji wa mimba.
8. 🧪 MBEGU DUNI
Mbegu ya dume isiyo bora au iliyohifadhiwa vibaya hupunguza nafasi ya urutubishaji.
9. 💊 MATUMIZI HOLELA YA DAWA
Dawa au homoni bila ushauri wa daktari huathiri mfumo wa uzazi.
---
📞 Kwa Ushauri wa Kitaalamu:
Dr. Gilliard – Daktari wa Mifugo
📱 0674740836 | 0792263640
---
Afya ya uzazi ni msingi wa mafanikio ya ufugaji!