Los santos
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 1,190
- 2,652
Hehehehe nimecheka sana eti utaishia kupigwa kipapai...kwaiyo unaona cha kufia nin Bora uwaache tuMm ni Muislamu ila kuhusu haya maneno watu tu wamezusha ila kwenye uhalisia wa dini hayapo na ukiangalia wengi wanofanya hivi ni wale wazee halafu ni wabishi hatarii huna la kuwaambia mara utaishia kupigwa kipapai tu
Iliyojuzu kwenye Uislamu kutoka kwenye mafundisho Sahihi ya Mtume wetu kipenzi ni Ile Adhana tu hayo mengine ni mambo za watu tu
