Vitisho vya Azana

Vitisho vya Azana

Maneno hasi ya Azana yananifanya nisilale kila ifikapo alfajiri.

Kwa mbali naskia "Swalah Swalah
Kitanda chako ndio kaburi lako
Usingizi wako ndio kifo chako
Shuka lako ndio sanda yako" na maneno mengine ya kukutoa kitandani.
Aaaah Jamani eeeh

Oya hz Mambo Kama wangeweza kupigiana simu waambiane muda wa kuswali umefika ingependeza zaidi
Mana tunaosikia hivyo vitisho ni wengi hasa ss tunaolala nusu nusu

Najua Sehem ya wahusika mnasoma na isiishie hapo mkaambiane huko uongozini Mana hw wa mtaani kwang wanajitia viziwi
Hakuna adhan ya hivyo na hiyo si tafsir ya adhana
 
Haya Mambo yapo hata china? Superpower, au ni upuuzi wa jamii maskini,
Jamii zinazokumbatia dini kwenye kila nyanja ya maisha, huwa maskini Sana,
Dini inatakiwa kubaki na Mambo ya kiroho tu, kutatua Mambo ya kimwili, ki uchumi, sayansi, tekinolojia, hauhitaji msaafu na bible na kukalili vifungu vya biblia,
Samsung Galaxy, Toyota V8, Prado, nk zimetengenezwa na watu wenye kutumia bongo sawa sawa, sio religiuos fanatics
Wenyewe wanakwambia hayo yote yapo kitabuni
 
Maneno hasi ya Azana yananifanya nisilale kila ifikapo alfajiri.

Kwa mbali naskia "Swalah Swalah
Kitanda chako ndio kaburi lako
Usingizi wako ndio kifo chako
Shuka lako ndio sanda yako" na maneno mengine ya kukutoa kitandani.
Aaaah Jamani eeeh

Oya hz Mambo Kama wangeweza kupigiana simu waambiane muda wa kuswali umefika ingependeza zaidi
Mana tunaosikia hivyo vitisho ni wengi hasa ss tunaolala nusu nusu

Najua Sehem ya wahusika mnasoma na isiishie hapo mkaambiane huko uongozini Mana hw wa mtaani kwang wanajitia viziwi
Hakuna adhan ya hivyo na hiyo si tafsir ya adhana
 
Haki yako ya kuabudu isijunje haki ya mtu mwingine ya kupumzika. Kwakweli waafrika ustaarabu hatuna kabisa. Hiyo ni pamoja na walokole kukesha kwa kusali na makelele yao mpaka asubuhi. Kila kitu kiwe na mipaka yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom