Ushayafuga nn mkuu
alafu ukile ukiwa na njaami bwana klabu isiyo rosti kitimoto siendi kabisa yan!!huyo mdudu anaenda sambamba na castle bariiiiiiidi...!!!
Doooh, huku wahi hata kuchinja mkuu?Nilisha yafuga haya madude, miaka ya 2005-7.
Nilikua nayo mengi Bahati mbaya yalikufa kwa ugonjwa [emoji17]
Acha tu unaweza ukalia kwa furahaalafu ukile ukiwa na njaa
haahaaaaaaa!!haaaaaa barrrriiiiiiiid!!Umejuaje, castle lite barrriiidd
haaaaaa!!ijumaa hiyooo taratiibu inasogea....alafu ukile ukiwa na njaa
Doooh, huku wahi hata kuchinja mkuu?
Nataka nikakipige pale tabata pembeni ya mikasa bar yule mpishi wa pale fundi sana wa hii kituhaaaaaa!!ijumaa hiyooo taratiibu inasogea....
HahahahaAstakafilulah
Kafanana na DT