Vitimbi vya wanandoa majumbani mwetu

Wewe na mkeo mmeshafikisha miaka 18?
 
Whaaat aisee .
 
duuuuh[emoji15] [emoji15]
 
Kumbe ulivonambia wewe ni mgumba ulikuwa hutaki kunizalia mtoto?
 
MM aliniwekea kondom wakati nasafiri, nilivorudi home akakuta sijaitumia. akamind eti nimemsaliti bila kinga. wanaaqke sijawahi kuwaelewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
MM aliniwekea kondom wakati nasafiri, nilivorudi home akakuta sijaitumia. akamind eti nimemsaliti bila kinga. wanaaqke sijawahi kuwaelewa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji33]
 
Duh! Huyo mwanamke nadhani nafsi yake inamhukumu mpaka basi
 
Hahahaha
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
hahaaaah mkuu ungetolewa linda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ahahaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…