Naunga mkono 100% Ndio na pongezi pekeee!?Hii haikubaliki!Huu mzigo wote wa nini?
Hivi ni nani alileta huu mfumo wa viti maalumu kujazwa na wanawake tu.
Mtu akishataka battle Maana yake mapambano anayaweza na yupo tayari kushinda au kushindwa.
hivyo Basi kwavile walitaka wapewe haki sawa na wanaume Wangefuta huu upuuzi wa viti maalumu ili Wote wapambane Majukwaani atakaeshinda battle anaingia mjengoni atakaeshindwa anafanya mambo Mengine.
#No Women No cry.