Msolopagazi
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 663
- 153
Hii kweli inazingua aiseh! Unajua katika uandishi kila mmoja anahakika anatunga stori ya kuvutia lakini hii kidogo iko shaghala sana, imekosa ubunifu ndio maana kama haieleweki 'iko dede'Kwanini unasema hivyo ? Ungana na jamii kupambana na vitendo vya ukatili juu ya watoto!
Every man has a right to utter what he thinks truth, and every man has a right to knock him down for ithapo umenena, jf imeingiliwa.
Michango yote ni ya kizushi tu. Inaonekana hisia imetumika zaidi ya kuwa na hoja za msingi
It is error alone which needs the support of an individual. Truth can stand by itself.Hii kweli inazingua aiseh! Unajua katika uandishi kila mmoja anahakika anatunga stori ya kuvutia lakini hii kidogo iko shaghala sana, imekosa ubunifu ndio maana kama haieleweki 'iko dede'
Japo ujumbe wake umeegemea ktk maadili na ustawi wa vijana wetu wa shule za msingi na sekondari na manyanyaso wapatayo.
Jaribuni kuwa wabunifu ili tuweze kuipata pata fresh na hii husaidia michango endelevu (jengeni hoja ktk mawanda mapana kwa mtiririko unaoeleweka)
Story ya kutunga hii!
Hili ni tatizo lingine la kukurupuka. Wazazi wameona school bus ndio mwisho wa matatizo. Hajui mwanawe anachukuliwa na basi gani wala anaendeshwa na nani. Madereva bangi wanakimbiza magari ya watoto hovyo na kupita njia zingine za ajabu ajabu
Cjui wanatishiwa hawa watoto, huwa hawasemi wanayofanyiwa hadi wachunguzwe.
Mzazi mchunguze mwanao kila wakati, jenga tabia ya kuzungumza na mwanao ili asikuogope
Michango yote ni ya kizushi tu. Inaonekana hisia imetumika zaidi ya kuwa na hoja za msingi
We acha tu watoto hadi watoto wanakosa hewa , wakishuka ndani ya bus hoiObuntu huna mtoto ndiyo maana unasema hii story ni ya kutunga. Mimi nilikuwa nalipia transportation kila mwezi lakini mtoto wangu na wenzake waliokuwa wadogo siku zote walikuwa hawapati nafasi ndani ya basi kwani huwa limejaa sana na wao wadogo ndiyo wanaondolewa kwa nguvu na wakubwa. Alikuwa analalamika sana na mwisho nikaamua kuachana kabisa na usafiri ule.
Hebu fikiria mtoto mdogo anasimama kwa saa moja au zaidi kwenye basi ambalo nauli yake ni kubwa na umelipia ili kumrahisishia usafiri.
Na hayo mengine yanawezekana kabisa kuwa yanatokea kwenye mabasi haya wala si ajabu.
Kweli hili ni tatizo na leo asubuhi kwa macho yangu nimeona Ki- school bus kinakimbizwa ovyo ovyo na kuyumba ndani yake kukiwa na vitoto i think ni Chekechea bahati mbaya sikuweza kufahamu ni cha shule gani. Yaani nilipatwa na mshituko! nadhani haya mabasi yaandike majina ya shule zao iwe pia rahisi kuwafuatilia.
.... kweli huwezi kuamini, mtoto wangu wa kike 6 years aliombwa apeleke sh 5,000 na "uncle" wa school bus. na huu ndio ulikiwa mwisho wa school buses kwangu ....
Tatizo siyo hao "uncles", tatizo ni mfumo wa usimamizi uliopo katika kila shule.
Uongozi wa shule lazima usimamie hawa watoa huduma ya usafiri, mfano wanaweza kuweka utaratibu wa kuwa na walimu wawili kwa kila basi na watakuwepo vituo vya mwanzo wa safari na watakuwa wa mwisho kushuka wakati wa jioni.
tumewashambulia sana ma anko wa school buses pasipo kuangalia pande zote katika sakata zima.......tumesahau kuwa wengine tunawakodishia watoto wetu TEKSI,ama hata derva wa ofisini, ama wa nyumbani.......tunasahau kuuwa...watoto wenyewe ka wenyewe, pamoja na hao wawapelekao na kuwarudisha toka shuleni....WAZAZI na WALIMU wanamchango gani katika kuhakikisha watoto wanakuwa salama....! BADO HATUJACHUKUA HATUA TUNALALAMIKA TU....!AS USUAL
ST. MARY'S....kesi kama hii imewahi kutokea....UONGOZI WA SHULE ukataka mzazi wa mtoto wa aliyelawitiwa (na mwanafunzi mwenzake) kutokana na usimamizi duni waelewane na mzazi mwenzake YAISHE.....!(?)
Tatizo lipo na ni kubwa.mara nyingi wenye mashule wana shauriwa waweka matroni mtu mzima badala ya konda wa kiume. kwa namna moja inapunguza tatizo.