Vitendea kazi viko wapi?

Traffic anazima moto, Fire brigade wako wapi????, na huyo dogo kona badala ya kunyosha kidole tu, ni bola na yeye angesaidia
 
Trafiki mwenyewe anazima moto kitozi anaogopa sare yake isichafuke
 
Hakuna shida tutaenda marekani kumuomba Rais Barack Obama atusaidie magari ya kuzimia moto.
 
Using raw materials available at a time and showing team work Big up Bongo
 
Back
Top Bottom