Si unajua kuna watu huwa hawatembei na vitambaa vya***** lakini ni hodari wa kupenga hayo**** na huwa hawanawi mikono kabla ya kushika vitu vinavyotumiwa na watu wengi!!?Ila sometimes ukiendekeza sana mpaka watu watakuona we mbaguzi,ingawa ni jambo la msingi kuzingatia kiafya
Mbona umesahau vijiko vya chakula kwa Mama ntilie a.k.a Mama lishe.
Si unajua kuna watu huwa hawatembei na vitambaa vya***** lakini ni hodari wa kupenga hayo**** na huwa hawanawi mikono kabla ya kushika vitu vinavyotumiwa na watu wengi!!?
Mbona husemi pesa?