ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
mnauza bei gani na mbona hujatoa namba ya mawasiliano mkuu au dalaliTupo buza/temeke/dar es salaam
mnauza bei gani na mbona hujatoa namba ya mawasiliano mkuu au dalaliTupo buza/temeke/dar es salaam
Napatikana buza/temeke/Dar es salaam karbu ndugualafu mbona havina chaga?? location gani upo??
Bei mkuuTupo buza/temeke/dar es salaam
Ni kwa 5x6 ila ukitaka size tofaut tunakutengenezea kwa siku mbiliBei hiyo vya ukubwa gani maana hujadadavua vizuri hapo
Namba nimetoa apo juu tupigie 0654381414mnauza bei gani na mbona hujatoa namba ya mawasiliano mkuu au dalali
Kwa vyenye mto wa kuegemea ni sh.280000Bei mkuu
MHUUU WE ULITAKA KUTAMKA UCHI TU....................😀😀😀😀HAPO BURDANIAisee biashara haifanywi kwa kujificha hivyo!!!....kumbuka mficha uchi hazai![emoji124] [emoji124] [emoji124]
Tunakutumia tupigie 0654381414Dah viko vizuri sana. Na wa mimi wa mkoani nitapataje?
Karibu tupigie 0654381414Vitanda vizuri
Mmmmh makubwa, Mzigo unakulaje hapa? [emoji16][emoji23][emoji4][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hamna kelele mkuu vipo imaraHivi kwenye yale mambo yetu havipigi kelele?
Bado vipo?Hamna kelele mkuu vipo imara