Sasa ndugu yangu, hujaweka mawasiliano, hujaweka bei, husema wewe ni nani na uko wapi, sasa tukueleweje????
USIJEKUTA NI VYA DEAL MKUU, HII NCHI YA KUVIZIANA HIIAisee biashara haifanywi kwa kujificha hivyo!!!....kumbuka mficha uchi hazai![emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hapana ni biashara yanguUSIJEKUTA NI VYA DEAL MKUU, HII NCHI YA KUVIZIANA HII
Ni biashara yangu mkuu sema tangazo halikukamilikaHuyu kapita kaviona akapiga picha akaweka hapa Kama dalali Ndio Maana tangazo lake halieleweki hata kujibu comment za wadau ameshindwa
Poa mkuu nimekuelewaVitanda vizuri ila bei na location ndio kila kitu
alafu mbona havina chaga?? location gani upo??Hapana ni biashara yangu