Ndio maana akapewa kazi ya kuwasafishaKwahiyo anaongoza wachafu..!? Kama anaongoza Mkoa wa watu wachafu basi ataitwa Mkuu wa Mkoa wa Wachafu.
It means anaongoza kwa uchafu ukilinganisha na mikoa mingine
Kasafisha wapi...ktk Jiji la wachafu...Ndio maana akapewa kazi ya kuwasafisha
Amepongezwa na nani sasa rubbish article.Hali inazidi kuwa mbaya kwa wasiomtakia mema RC Makonda baada ya kazi zake kuzidi kumnyokea na safari hii ameongoza katika makusanyo ya hela ya vitambulisho vya wamachinga.
Wenye roho ya korosho na Makonda mjinyonge tu sasa maana bado yupo yupo sana kwenye nafasi yake.View attachment 1098052
Unapokata mauno kumshangilia Mbowe baada ya kubadili gia angani huwa siyo mwanaume?Yani mwanaume unashangilia mradi unaofanyika bila ridhaa ya bunge kwamba hata matumizi ya hizo fedha yasipokugusa hauna pa kuhoji then wewe unakuja humu kukata viuno? Shwain!.
Ila mjue mmepunguza sana kodi kwa upande wa Dar maana biashara zilizokuwa zinalipa kodi kubwa sasa hivi zinalipa buku 20 wanajilia bata. Mpaka wahindi wamefunga biashara wamewapa machinga buku 20 wawauzie bidhaaUongozi hupimwa kwa matokeo
Kasafisha wapi...ktk Jiji la wachafu...
Sawa....uko sahihi Kifutu.Alibomoa club ya bilicana ya wauza ngada,au bado ipo?
Sawa nyumbuSawa....uko sahihi Kifutu.
Yeye ndio kiongozi aongoze kuutokomeza kama alivyoogoza kugawa vitambulisho,vipi wajane na waliotelekeza watoto,vipi showrooms za magari zinafanya kazi kigamboni?Uchafu ni nyie wenyewe wachafu
Vipi uchafu wa Dar nao vipi anaongoza na kupongezwa?
Nawashangaa wanaopongeza Dar kuuza vitambulisho vingi. Dar kuna wakazi wengi walio mjini na ambao ni wajasiriamali. Ukienda Katavi mji ni mdogo sana na population ni ndogo sana. Ingebidi wachukue idadi ya wakazi wa jiji la Dar walinganishe na wakazi wa mji wa mpanda ambao ni makao makuu ya mkoa wa Katavi. Hapo Takwimu zingekuwa halisi.Proportions bado zinaipa Dar nafasi ya kwanza