Vitambulisho vya Stella M. Mshana vyaokotwa Tabata

Vitambulisho vya Stella M. Mshana vyaokotwa Tabata

Ww uliyeokota hivi vitambulisho hakikisha pia unaenda polisi kutoa taarifa. Ili kuepuka usumbufu kwako
 
Japo umri umeenda lakini yuko bomba...... Aliyemuoa anafaidi jamani
 
Hivyo vitambulisho vimeokotwa tabata stand ya dala dala atakaye mfahamu huyu mama tafadhali na saidien kushare pia kwenye pages nyingine
Wasiliana na 0765012666

lakini nikahisi ni dada yake Mshana Jr msaidieView attachment 888964View attachment 888965View attachment 888966View attachment 888967View attachment 888968
Idiot! Hivi kwanini wewe una akili za kijinga kama nguruwe? Umeona kuanika kopi za vyeti vya mtu hapa ni sahihi? Ungetumia tu jina asingepatikana?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom