Igp amekiri hili anadai. Jeshi lilikuwa linahakiki kama kuna ambae ajajiandikisha.swali unahakiki kuomba kadi..hii n kesikubwa
biotric voters registration - bvr
HeheheheheeeHuyo ndio ASP wa polisi. Je konstebo unategemea atakuwa na elimu gani? Halafu mnashindwa kujua ni kwanini sisi ni masikini?! Nyambafff Mkware!!
Uwongo mtupu siasa za kitoto.Umejichapia mwenyewe ukasaini na kuiga picha na kasimu kako koko na kuleta hapa!!!! CHEAP POLITICS
Wananchi tugangamale tutete haki yetu bila woga
hii nia aibu kubwa sana na ni credit kwetu ukawa kifo cha ccm mwaka huu chochote wanachotaka kufanya siri zinavuja mungu tusaidie hawa wafe vizuriHuu ndio ushahidi kamili wa kudai vitambulisho vya mpiga picha