fokonola bokoyoka
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 965
- 640
Huyu igp vp anaelewa sheria ya uchaguzi kuhusu bvr. Inabidi ajipange maana hajajibu Bado, anaweza hata kushitakiwa.........
mwaka huu hata kura ya kiwete ni muhimu sana watambeba hata kwa VX kumpeleka kupiga kura!
Huyu igp vp anaelewa sheria ya uchaguzi kuhusu bvr. Inabidi ajipange maana hajajibu Bado, anaweza hata kushitakiwa.........
Leo hii IGP akiwa Bukoba amekiri Jeshi hilo mkoani Pwani kukuhakiki shahada za askari Polisi ili kujua kama wote wamejiandikisha na ili kusaidia wale ambao hawajajiandikisha wajiandikishe.
IGP ametoa sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na wajibu wa askari kushiriki uchaguzi na sababu nyingine ni askari wake kuwa katika maeneo tofauti tofauti ya kazi wakati zoezi la kujiandikisha likiwa linafanyika akimanisha askari hao kukosa fursa ya kujiandikisha.
Chanzo:ITV
Je,pamoja na sababu hizo,utaratibu huu ni sahihi kisheria?
Campain Manager wa Maguu full huyo.
Utaratibu huo ni sahihi kabisa. Kutokana na data za uandikishaji na upigaji kura kuwa kwenye mfumo wa ki electronic ni rahisi sana hata kujua nani amempigia nani.
Ole wenu mnaokula CCM na mnalala UKAWA. Usiwe VUGUVUGU, chagua moja kabla hayajakukuta Nov 2015.
Queen Esther
Iigp hana washauri imari the only way ni kukanusha maana advera senzo alikanusha japo alijua kinachoendelea.
Dah mpaka namwonea huruma maana hazijui sheria za uchaguzi vizuri.
Hiyo biashars ya kuhakiki ikome we sio time,,vilevile pitia sheria za uchaguzi vizuri.
Leo hii IGP akiwa Bukoba amekiri Jeshi hilo mkoani Pwani kukuhakiki shahada za askari Polisi ili kujua kama wote wamejiandikisha na ili kusaidia wale ambao hawajajiandikisha wajiandikishe.
IGP ametoa sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na wajibu wa askari kushiriki uchaguzi na sababu nyingine ni askari wake kuwa katika maeneo tofauti tofauti ya kazi wakati zoezi la kujiandikisha likiwa linafanyika akimanisha askari hao kukosa fursa ya kujiandikisha.
Chanzo:ITV
Je,pamoja na sababu hizo,utaratibu huu ni sahihi kisheria?
Angalau amethibitisha kuwa yaliyolalamikiwa ni ya ukweli. Tusubiri tuone Mzee Lubuva atafanya nini? Orodha waliuonayo hao polisi wanapaswa kuichoma moto.Leo hii IGP akiwa Bukoba amekiri Jeshi hilo mkoani Pwani kukuhakiki shahada za askari Polisi ili kujua kama wote wamejiandikisha na ili kusaidia wale ambao hawajajiandikisha wajiandikishe.